Who has work?

Al~pakino

Senior Villager
#1
Fellow wadau and busy birrionnaires, nadai mnisaidie na kazi bana.. Mimi sio mlazy n I'm quite resourceful if you show me a thing or two.. Ni hustle gani naeza pata, niko uku sides za Nakuru, sitakataa kazi.. Any, bora ina make doh niko ready.. Ata nawa address nikiwa tea break uku kwa quarry ndio tunakaza kujaza lorry lakini wah, hii kuinua mawe sio mchezo bana., kwanza ya 9 inanilemea sana, staki kuzeeka nikiinua mawe bana.. So tafsali nipeeni connections za ma kampuni hiring, ama ni nani anahitaji kijana shupavu tuchape works?
 

Top