[MEDIA=twitter]1648290734301396992[/MEDIA]
Mara ngapi tutaona hii?. Sawa,weka ile ya wasee wa ball ama ile ya gari Iko on the move inachapwa kwa street pia.
Anyway ,lightning can get you anywhere hata kwa bafu
Hii ni ya kitambo sana.
Though vile huyo wa mwisho anaanguka is still funny.