Hii stuff nilicheza sana nikiwa high schooln arudi chuo bila hata kuguza assignments before I transitioned to FIFA nikiwa Campo and now efootball (pes)...ningekuwa na sons kama @Yuletapeli naeza kuwa naguza nao vibaya sana
Yeah. It is almost a fully fledged call of duty game for mobile devices. Kwanza kama simu yako ni ya maana ucheze na maximum frame rate na graphics ni fity sana. Lazima ucheze online.