What does Reverand Natasha do?

Hii preaching yake ni ya kusafisha rada tu ni kama.

Mind your own business, peasant.

Toa sadaka bila kusumbua

Wewe pia anza kupreach, stop policing mtu wa mungu nani

What do yoself do?

Huyo mama huwa kitu safi ni vyenye tu kondoo haiwezi kula mchungaji wake

Showbiz…

Si urembo , ni make up to. Ukimwona bila make its just average .

ni confidence. i’d definitely screw her hata akiwa make up. same reason i’d screw huyu wa hapa kenyatalk. confidence

Hawa kina Ringtone, Natasha na Jowie gospel yao ni ya kusafisha radar

Wachana na wamama tafuta pesa ya kukunywa weekend na kwanza picha ya huyo mama sioni hapa nani

Natasha hakuna kitu anafanya extraordinary. Wakenya ni shallow, Natasha ameinvest kwa mavazi tu na vijana wachache around her, pesa ikaanza kuflow.

Sasa mtu kama Arror, mwenye ako na PhD na ni genius, mtawezana naye aje?
Jinasueni kutoka kwa mitego midogo midogo ya mapastor matapeli, kabla mfikirie vile mtajitoa kwa mikono za parasitic owners of capital

Too bad she’s lesbian.

Worrayusayin mdau

[ATTACH=full]352265[/ATTACH]

Huyu ni scam. Anauzia single mothers false hopes ati watapata rich men to solve their issues.

Leta hekaya mdau

Niskumie single mother fulani jamaa.

Ain’t all religions a scam?
Basically selling hope to the afflicted while pocketing cold hard cash in the form of offerings and “church contributions”

:D:D:Dunataka ukue the father that stepped up