huyo amewekwa na wale wamama wanono wa harrier. Simu ni Ile ya buttons. Kazi yake ni ku treat mumama kama queen, amepewa kazi kama chauffeur. Na bado anampea body massage na kumuita na pet names kama pumpkin, broccoli, cheese etc