We don't call you chicks for nothing

[ATTACH=full]179654[/ATTACH]

Kweli kaka. Kila jambo na sababu zake

Duuuuuuu

Kaka karibu tunarejea nyumbani

Daaah. Mungu Mkubwa. Kesho kutwa ntakuja kilingeni!

Po

Pouwa karibu sana

Rudi wewe unaeweza kupita mahali bila kuonekana, sie wenzako tunasubiri kuona usalama kwanza

:D:D:D…

Hahahaaah,!!

Naona unanionyesha kwa vitendo. Si kwamba tu unaweza kupita mahali bila kuonwa bali hata kuandika message sizoonekana!

Hahaha