Sema wazito ndio kufika after long period of election yote yanawezakana bila wiper ,Ford kenya not forgetting NASA.
U
V.E pewa kiti
[ATTACH=full]166343[/ATTACH]
Wamecheza chini sana na Uwes pia is MIA
It is winter. People are hibernating.
Napita tu.
Uwes yuko siberia.
:D:D:D siku hizi kuna net ya WiFi, I know people posted over there Na hao ndio mabingwa wa WhatsApp groups, kutumia watu video za kumaliza network.
Uncle alifanya nini?
Sijui but alisema amepigwa ikweta na myamaa wa posho mill.
Murogi hawezi pigana equator .
Thought so too
Karibu. Ile chama yenyu ya mnyanduano reloaded bado iko imara?