Watanzania kweli tuna akili?

Mkwavinyika

Senior Villager
#29
Hakushindwa kujibu ila asingeweza kujibu swali alilouliza yeye mwenyewe. Ni kama uko kwenye chumba cha mtihani mwalimu wa masuala ya bahari anakuuliza "Kaa ni nini?" eti na wewe unajibu "Kaa" ina maana tatu!
Kwani mshana aliuliza akili ni nini?

Lazma huyo mtaalam wa masuala ya baharini nimuulize anaposema kaa ana maana gani?

Kwahyo hapo ntajibu kuwa kaa ni nini....
Suala la akili alitakiwa aeleze akili ni nini.. Au maana yake akili
 
Mwifwa

Village Elder
#35
Kuna bwege moja limejiunga na ID ya Asprin. Nadhani lilikuwa linataka kunichukulia michuchu yangu. Nimelitandika mkwala naona limepotea. Ikabidi nije kwa mtindo huu baada ya kufanya maombi mlimani
Aisee
Watu wanazingua sana wanakuja na ID za watu humu halafu wanazitumia vibaya sana, nilipoona umeongeza hilo neno nikawa najiuliza kulikoni maana Bibi wakati anakutafuta alitaja ID yako ya siku zote.

Basi haina ubaya kikubwa umejitofautisha na huyo fake
 
Babu Asprin

Senior Villager
#36
Aisee
Watu wanazingua sana wanakuja na ID za watu humu halafu wanazitumia vibaya sana, nilipoona umeongeza hilo neno nikawa najiuliza kulikoni maana Bibi wakati anakutafuta alitaja ID yako ya siku zote.

Basi haina ubaya kikubwa umejitofautisha na huyo fake
Hehehehe nadhani naye aliingia chaka. Kama alijibebisha huko PM ishakula kwake mazima
 
Top