WaTanzania kujeni Hapa Kidogo

Senetor Vinick on Tax Rate,TZ as an example.

https://www.youtube.com/watch?v=q_i3zOcquEQ

Kwanza Tanzania VAT ni 18% na sio 20%. Kwa mantiki hiyo kajenga hoja yake kwa kutumia mfano wa uongo. Lakini jambo la ukweli alilolisema ni kwamba kodi nyingi hazikuzi uchumi bali zinaua uchumi.

This is very seditious. VAT ing’olewe? Heheheeeee

!
!
Teh Teh Kiswahili Cha Hawa Jamaa Shida Tupu

Wameambiwa hawajui Kiswahili basi wamekuwa Mbogo kweli kweli!

ukweli unauma sana. wenzetu wanakimbilia kukopa halafu mizigo wanabeba walalahoi