Wasiojulikana hawatambuliwi na serikali hivyo ni majambazi/wauaji tu

Pamoja na Dr Stephen Ulimboka kuponea tundu la sindano kwa kipigo cha wasiojulikana hata baada ya gazeti pendwa Mwanahalisi kumtambua na kumwandika Ramadhani Ighondu mwajiriwa wa usalama wa taifa kuhusika.
Pamoja na Azori Gwanda kuchukuliwa na watu waliotambulika kutoka serikalini na kupotezwa na mkewe kuendelea kupewa matumaini kuwa yupo katika mikono ya sheria atapatikana
Pamoja na Ben Saanane kupotea na kila dalili na ushahidi hata wa polisi kukiri amechukuliwa na usalama wa taifa na simu yake kuendelea kupatikana katika maeneo ya ofisi za PSU kijitonyama
Pamoja na Roma mkatoliki kutekwa na kuteswa kwa muda na mkuu wa mkoa wa Dsm kuahidi angepatikana baada ya siku tatu na kweli akapatikana
Pamoja na ushambuliaji wa Lissu kutokea na ushahidi wa namba za magari na watu waliokuwa wanamfuatilia kutolewa hadharani na kukosekana hata nzi katika mikono ya vyombo vya dola vya nchi hii
Pamoja na matukio mbalimbali ya utekaji na kuzamisha watu kwenye maji mengi ambao hakuna maelezo muafaka hadi leo hii
Juzi tena huko songea yametukia mambo ya ajabu ya utekaji na kunyanganya form za uongozi madiwani wa Chadema chini ya mtutu wa bunduki!
Juzi jamaa mmoja wa tarime Peter Zacharia kidogo atufumbulie fumbo lakini dola imekataa.
SERIKALI IMEKANA WAZI WAZI KUWA HAIHUSIKI!!
Tufanyeje?
Serikali imekana wazi wazi na tumepigwa marufuku kuihusisha na mambo hayo.
Tumebaki peke yetu!!

Mawazo/mapendekezo yangu

Haya ni majambazi ni lazima wananchi tuungane kupambana nayo.
Tutawalinda viongozi wetu na wale wanaotafuta uongozi kupitia vyama vyote.
Tukiwatia nguvuni ni kipigo cha mbwa koko ikiwezekana kutia kiberiti. Serikali itatupengeza sana kwa kuisadia kuondoa hii HEADACHE!!

Mkuu hawa wasiojulikana ila kukubali ukweli hata kama umefanya kosa huwa ni vigumu.

Unaweza ukamshika mwizi ameiba kabisa live na ukimuuliza kwa nini umeiba atakuambia sijaiba.

Hawa wasiojulikana ndio hawa waliojulikana wazi wazi kwa kujitambulisha baada ya kushindwa mbinu zao za kijinga kutaka kumdhuru Peter Zakia, walipogeuziwa kibao na wakaona wamezidiwa nguvu ndipo tulipoambiwa na kutambulishwa kuwa wale ni Maafisa wa Usalama wa Taifa. Jee, unafikiri kama wasingeshindwa wangetambulishwa/kujitambulisha kuwa wao ni Maafisa wa Usalama wa Taifa? La hasha, tungeambiwa ni watu wasiojulikana na hadi sasa zingekuwa habari zingine kuhusu Peter Zakaria.

Hapa kilichobaki sasa ni kutumia uwezo na mbinu ulizonazo kukabiliana nao endapo ukikutana nao wakitaka kufanya ufirauni wao, kwa njia hii tutawatambua wengi sana hawa wahuni wanaotumwa na amri kutoka juu ya ufukwe wa bahari ya hindi

dawa ni kuwa mbabe zaidi ya peter zakaria, unawamaliza kabisa

Bosi wao juzi katamba hadharani katika onyesho la kupokea ndege kuwa ataendelea kiwapoteza wakosoaji wa serikali.

Mission ikifeli unakanwa si katika wao…!!!

Kwa sababu ni wasiojulikana, basi wakitambulika wafunzwe na ulimwengu… yani wakiiingia kwenye kumi na nane za walimwengu washughulikiwe…

Cc: @Mahondaw

Wasiojulika wakijulikana wanatetewa kwamba ni TISS on duty.Rejea sakata la tajiri Zakaria!

Siku wakijulikana …