Wapi mzee Tupatupa?

Huyu kada mwaminifu wa ccm mzee tupatupa wa lumumba inabidi sasa aijue mikoa yote ya kenya

Atakuja tu hamna namna.

Nadhani kwa sasa yupo kambi ya Kakuma anachukua mazoezi…

Yu safarini kuja Kakuma Refugees Camp

Hahaaaa!! Huyu Mkubwa sijuagi MZEE au kijana. Lkn michango yake huonyesha ana vitu vingine sana. Msomi na ni Mwanasheria HV. Km upo kwa,I’d nyingine tuambie tu. Binafsi NA kukosa hasa misimamo yako ya uccm mageuzi. Mara unapinga Mara unaunga mkono

Hahaha wapo wengi sema hawajajua tulipo

Teh teh teh… Mzee tupatupa wa Lumumba sasa nikiwa county ya Nyeri.

Vuta Nkuvute.

kada mtiifu wa lumumba yuko njiani

:D:D

Ataripoti kutokea county ya Kajiado