[ATTACH=full]477631[/ATTACH]
Hii imenikumbusha waaay back kabla Michuki rules tukiwa shule, the mat sector was so chaotic, that rush hour kutoka chuo kuelekea mtaani ilikuwa ni balaa.
Nganya za 22/23 walikuwa wanabeba excess, watu kufuinyana, ma-mono walikuwa wanafinyiliwa katikati ya walioketi na back rest ya kiti ambacho kiko mbele yao. Don’t know if you can picture that. Yaani tuseme umeketi na kati kati ya mguu zako ki-mono kimesimama with their bum facing you.
Ukitoboa hapo next ilikuwa mathree za mtaani 14 seater. Enzi hizo zilikuwa 18 seater lakini zilikuwa zinabeba watu wanne mbele, watu wawili excess kwa kila row, kwa jumla watu 30. Sasa kwa manyanga protocol ilikuwa vijana wa chuo waketi wabebe madem wa chuo. Madem wa siku hizi would boil at the mere thought.
Madem kutoka chuo ka zote mjini; mso, lcvr nk wamekalia vijana tukutu wamechemka kutoka jamu, pumu na kadhalika. It was sooo inappropriate by today’s standards mi-hukumbuka natingisha kichwa. I remember one time manzi alinikalia I got so hard alipofika stage akakataa kushuka. Subsequently huyo manzi alinisalimia ki-lazima for more than a year kaa mimi bado nimetupa radar. She eventually gave up.
Anyway, huyu jamaa ameandika kwa gazeti anaongea kuhusu sanity in public transport, haikosi ni mmoja wa wale hawajawai panda mathree. Ata hizo KBS anasema ilikuwa mfinyano wazimu. Watu ku-hang kwa mlango wakijaribu kuhepa kulipa nauli. Lots of pick-pocketing. I was also once touched inappropriately & very discreetly by a lady but that’s a story for anaa day.
How many of you check all those signs?