Wangapi waliolijua jiji…..?

[ATTACH=full]477631[/ATTACH]

Hii imenikumbusha waaay back kabla Michuki rules tukiwa shule, the mat sector was so chaotic, that rush hour kutoka chuo kuelekea mtaani ilikuwa ni balaa.

Nganya za 22/23 walikuwa wanabeba excess, watu kufuinyana, ma-mono walikuwa wanafinyiliwa katikati ya walioketi na back rest ya kiti ambacho kiko mbele yao. Don’t know if you can picture that. Yaani tuseme umeketi na kati kati ya mguu zako ki-mono kimesimama with their bum facing you.

Ukitoboa hapo next ilikuwa mathree za mtaani 14 seater. Enzi hizo zilikuwa 18 seater lakini zilikuwa zinabeba watu wanne mbele, watu wawili excess kwa kila row, kwa jumla watu 30. Sasa kwa manyanga protocol ilikuwa vijana wa chuo waketi wabebe madem wa chuo. Madem wa siku hizi would boil at the mere thought.

Madem kutoka chuo ka zote mjini; mso, lcvr nk wamekalia vijana tukutu wamechemka kutoka jamu, pumu na kadhalika. It was sooo inappropriate by today’s standards mi-hukumbuka natingisha kichwa. I remember one time manzi alinikalia I got so hard alipofika stage akakataa kushuka. Subsequently huyo manzi alinisalimia ki-lazima for more than a year kaa mimi bado nimetupa radar. She eventually gave up.

Anyway, huyu jamaa ameandika kwa gazeti anaongea kuhusu sanity in public transport, haikosi ni mmoja wa wale hawajawai panda mathree. Ata hizo KBS anasema ilikuwa mfinyano wazimu. Watu ku-hang kwa mlango wakijaribu kuhepa kulipa nauli. Lots of pick-pocketing. I was also once touched inappropriately & very discreetly by a lady but that’s a story for anaa day.

How many of you check all those signs?

Nakumbuka nikipanda train ya pipu. Ilikua 15 bob. Lakini munafinyana una dryhump mama ya pharmacy bila permission

Ndindu ako na yahoo doti com

Ata mimi nkona yahoo.com

Me too, na nililipia 30 bob nifunguliwe, saa hio ni AOL inacheza alafu sina address hata ya mtu mmoja but mentioning uko na yahoo address pale club iliwekwa in place ya pop-in was the real deal. Saa ingine i look back nashindwa kama hapo ndo nilikosea kimpango? :D:D

Primary email address Yangu ni ya yahoo. I opened in in 1999, I also had one from Hotmail but got tired of it.

Eish ndindu 1999? :D:D

Wueh! Wacha tu …

Pia mimi email ya kwanza ilikuwa yahoo nilifunguliwa cyber ilikuwa pale college house. Enzi hizo net ilikuwa dial-up na malipo ilikuwa 7 bob per minute.

Cyber zingine kutuma email moja ilikuwa 30 bob. Na mtu ilibidi uwe comp literate juu email client ilikuwa fully command and text based. Kuna hii progi ilikuwa inaitwa PINE ilikuwa wazimu kuruka ku-operate. I see it was later developed into alpine. Imagine using this instead of web guis like office 365 and gmail or other apps like outlook!

I don’t even think it supported opening attachments. If it did, it was a cumbersome operation.

[ATTACH=full]478007[/ATTACH]

The author is young. There are many people who grew up in Nairobi in the 1960s. People who remember the assasination of Tom Mboya, Ronald Ngala and JM Kariuki. And this author is talking about saba saba riots of 1990