…ni upepo tu utapita, zilihitajika hips likapita, mara miguu ya bia likapita, zikahitajika lips nene likapita mara mwanya likapita, amini nawaambieni hata hili la wowowo nalo litapita.
Baadhi ya wanawake wanapitia kipindi kigumu kwenye huu upepo wa “neema za Allah” vigodoro na butt lifter zinakoma, jana bi dada mmoja kavaa zake kigodoro maskini hadi kimekaa vibaya yote haya ili aonekane na msambwanda.
Wanaume ifike mahali msimu wa misambwanda uishe hamieni hata kwenye manyonyo…maana yote haya ni sababu yenu.
usijali mdada tupo kwenye kikao tujue nini kitafuata baada ya hili ila kwa dondoo ni mapengo, kifua kikubwa/kidogo ama singo nyembamba ka za ile mindege inayokula samaki
Hili suala la Msambwanda sizani kama litapita. huko kwenye mwanya na miguu ya bia tulikuwa tunatafuta nini tunapenda, tumegundua ni misambwanda. Ila mi misambwanda feki yenye mabonde isiyoendana na mwili, iliyoshuka hadi mapajani hunichefua sana.