Wanatendwa haya kadamnasi,vipi huko vyumbani.

Wakuu salam.
Akili yangu inasumbuka sana kujua nini hua kinawatokea hawa viongozi waandamizi vikaoni na mtukufu jiwe.kwa.kauli zake hizi za hadharani za kupiga,kukomesha,kunyoosha kutumbua.

Hivi huko vikaoni kweli hua kuna mwenye ujasiri wa kumhoji au kumshauri kitu jiwe?.hivi mtu anaeweza kutishia hadharani kumbutua shangazi yake na PM wakiwa vikaoni anashindwa kuwatia makonzi?.

Mawaziri wanao itwa wapumbavu mkutanoni(TANGA)na wakachekelea vipi wawe na kipingamizi kuzabwa vibao chumbani?.

Sidhani kama kuna mahali duniani ambako kuna mawaziri kondoooo kama nchini Tanganyika.

Kweli?,majaliwa hadharani anambiwa angebutuliwa shangazi zake na wanachekelea.

Cc,wapenda vyeo

Woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, mbuzi mbuzi

Time will tell…

Cc: @Mahondaw

Inashangaza sana baba zima na midevu chekwaa unatukanwa hadharani na unachekeleaaa,kisa status

[FONT=tahoma]Ulevi wa madaraka na tatizo la kuchagua kiongozi ambaye hakuandaliwa kushika nafasi kubwa kama ile matokeo yake ndo tunayaona katiba haiheshimiwi mihimili mingine ndo usiseme jeshi la mtu mmoja ila mambo yanaenda mlama.[/FONT]

Adabu za wana CCM hazipatikani po pote pale duniani labda ahera!

Njaa mwanamalegeza

Inahitaji busara,unafiki wa ziada kufanya kazi ktk mazingira hayo ya mkuu.Yanayotusibu na yajayo Yanasikitisha sana.

Du

Mkuu uko sahihi sana

Hata wewe ungekuwa kwenye nafasi ya PM siku ile ungepiga makofi ya furaha.
Achana na kitu cheo halafu ukivue au uvuliwe kienyeji tu.

Jiwe linagawa na kupokonya vyeo kama maandazi.

Utu wangu ni muhimu kuliko vyeo.

Mkuu sio njaa tuu,buli na uzezeta umo

Jiwe akapimwe akili, sidhani kama ni Mzima yule. Huu ulimbukeni wake wa kulewa madaraka umepitiliza

Watu wako radhi kuaibika ili tu walinde vyeo vyao. We acha tuu.

Tatizo njaa na sifa mkuu, wanalinda ugali zao bhana na kmbk sheria ya kula na kipofu usimguse mkono.

Vikao vya nini wakati anatoa amri tu.

Usichafue taswira ya ahera. Hao jamaa wanapatikana kuzimu.

[ATTACH=full]181428[/ATTACH]

Wazee wa ndiyooooooooooooooooooooooooooo!!!