[ATTACH=full]178341[/ATTACH]
ruge kawa babu na set kitambi kwisha dah
duuh jela si kuzuri kabisa
:eek::eek::eek::eek::eek: Duh! Assallale…
Wamechongoka kweli kweli
Duh ruge amekua kama Mt.Maximiliano alivyokua kwenye gereza la hitler adi huruma aiseee
Seth gereza limemsaidia kufanya diet no kitambii:D:D
Ndio maana wanakwambia shida nyingine zinapotokea huwa zinakuja na baraka,alishakata tamaa kabisa kuwa tumbo lake haliwezi kurudi na saa nyingine aliamini ni kitambi cha kurithi hivyo hakiwezi tena kupungua,thanks kwa uongozi wa awamu ya 5 kwa kutuweka huru…
Mablazameni wametoka mchicha kichizi.
Aisee
Daah maisha haya!
Rugemalila!!!
Siku ya kwanza alishindwa kupiga magoti; sasa hivi laaa kawa kijanaa; hata kitoka home mbona mambo safi tu kwa ze wife
Duh wamechoka sio mchezo.
Tafsiri ya kuishi kama sheturn
Doctor alidanganya mahakama kuwa puto la Sethi litapasuka muda wowote ili atoke rumande…mbona halijapasuka mpaka leo?
Pengine muda wowote haujafika
Anaweza hata kupiga ‘hat trick’
Jiwe likiangalia hiyo picha linafurahi kwelikweli
Inasikitisha