Wakimbizi wamesusia kurudi nyumbani?

JF imefunguliwa lakini naona kama “wakimbizi” wamesusia kurudi nyumbani sioni posts mpya bado wanapost kupitia Kenya inaonekana wana wasi wasi sana na mfalme wao kutokana na tabia zake za kikatili

Wew umejaribu kupost ikakubali?! au unadhani wew ndo wa kwanza kuona kurudi kwake!!

jf hawajaachia watu kupost
nafikiri hawajatimiza masharti

Bado niponipo sanaa

We umepost thread?

Nenda wewe uka Post

Nyumbani hakuja noga

Mie kama wewe nimechoka mabandiko yangu kubadilishwa na MODS hivyo kuharibu maana ya kile nilichokiandika au kufutwa kabisa, hivyo ukimbizini bado nipo nipo kwa sana tu.

!
!
Unaweza Kulike Tu Basi Huwezi Fanya Kitu Kingine

Umesema kweli Mkuu…
Mods JF much-know sana Mkuu…
Unakuta wanakubadilishia uzi wako na maudhui yote wanaiharibu…
Ovyo sana.

SIMWOGOPI MTU… nasubiri tu jf ikamilike tutapambana huko, kiparangoto hawezi kunipeleka exile mim.

Bado natafuta kiwanja kabisa huku ukimbizini, nikishajenga ndiyo nitaangalia kama naweza kurudi home…

Sirudi kabisa huko

Masharti ya huko nyumbani ni magumu acha nikae huku huku.
Kule nitakuwa nachungulia tu kama mgeni na sichangii chochote.

[FONT=courier new]Mkuu msamehe huyu ’ Pimbi ’ kwani ndiyo Kosa la kuja Mkoani Dar es Salaam na Treni ya Mizigo ya kutoka Bara.[/FONT]

Ha ha ha

Ni mwendawazimu tu atakaeiamini jf ya sasa kwa haraka sana mi mguu ndani mguu njee naskilizia upepo unavumaje kwanza

Bado manake huwezi kupost chochote kule hadi wafungue!!!

Huwezi kupost chochote…

Unachoweza kufanya ni ku-like na kutuma PM only…

Cc: @Mahondaw

Mie nina mpango wa kubadili kabsa na uraia
Bongo bahati mbaya