Wakimbizi toka Kenya,Uganda kwenda Tanzania

sijawai kusikia kua wakenya au waganda kua wamekamatwa kwa kuingia tanzania kwa njia zisizo halali

Sijawai kusikia mkimbizi wa Kikenya,Uganda,Tanzania kwenye izi nchi za afrika mashariki

Hii inaonesha kua karibia nchi zote za jumuia ya afrika mashariki zinafanana kiuchumi na kimaendeleo

Nawasilisha

Hiyo avatar yako inatukwaza wengine kuchangia.

Nilivyo iona hiyo avitara yako nishikwa na hasira sana naomba nipite

Hata nikipewa billioni moja,sichangii mada

Huyu tahahira ametokea wapi tena?

Wakuu nimetoa ile avata haya twendeni mzigoni

Licha ya kuondoa Avatar haiondoi ukweli kuwa wewe ni kilaza wa Lumumba.

Mashetani wa Lumumba wakipost tusichangie tafadhali, ndiyo adhabu yao

Hatuchangamani na watu wa chama cha watekaji, watesaji, wauaji na wenye vimelea vya kidikteta.

Duuu huu si ubaguzi jamani

Toka juzi nilivyoona michango yako nilikupuuza bure. Nyie ndio watetezi wa awamu hii mitandaoni. Kwa udhaifu huu wa hoja ndio maana serekali imeona bora hizi forum zipotee tu kwa masharti kandamizi, maana watetezi mmekata pumzi. Nimejaribu kuangalia dhumini ndani ya post yako namba moja, to be honest sijaiona.

sasa mchango wako huku kwenye forum ya ukimbizi una faida gani au unadhani ni hasara kwa naniā€¦hahah haki yani nyie ni mbumbumbu