Wakimbizi toka Kenya,Uganda kwenda Tanzania

#1
sijawai kusikia kua wakenya au waganda kua wamekamatwa kwa kuingia tanzania kwa njia zisizo halali

Sijawai kusikia mkimbizi wa Kikenya,Uganda,Tanzania kwenye izi nchi za afrika mashariki

Hii inaonesha kua karibia nchi zote za jumuia ya afrika mashariki zinafanana kiuchumi na kimaendeleo

Nawasilisha
 

Top