Wakimbizi anzeni kufungasha virago vyenu!!

Kutokana na JF kurejea hewani, wakimbizi tulioko KT tuanze kufungasha virago vyetu kwani wakati wowote ule safari ya kuelekea nyumbani itaanza. Si ajabu wengine watabakia huku ukimbizini na mwisho wa siku na wao labda watabahatika kuwa Marais wa KT.

Wengine washapata mpango wa kando huku

Wacha nibakie huku, naweza kupewa uraia

I WILL STAY HERE

Na huku nako umeanza mambo yako…???

Mambo gani tena!?

Ngoja turudi nyumbani Mkuu siku moja nitakuambia…

Ha! Ha! Ha! Ha! Kumbe umeiona hata kama niliificha kwa ndani sana!!

:D:D:D Mkuu Tatizo Miguu ipo nje …inaonekana…na hizi ‘‘KAMBA’’ nyekundu tulizofungwa miguuni zinaonekana kwa mbali…

Nyumban sio sehem salama tena…tubakin tu huku

Nyumbani ni Nyumbani

Usijipe hope sana mkuu…inaweza ikabaki hivyo forever

Hamjambo wanakijiji wenzangu?;):):p…

Ni kweli ila wapuuzi wamekalia viti ndio kisa cha sisi kuwa huku.

Hatujapata kauli ya serikali hatujui nini kitatokea kesho. Bora tubaki huku.

Mpuuzi nani!!
Sheria imetungwa na wabunge wako

Hakuna mbunge anayetunga sheria nchi hii. Sheria zinatungwa na serekali na wabunge walio wengi hawajui wajibu wao wanaishia kuzipitisha (rubber stamp). Mbunge niliyempigia kura hakukubaliana na huo upuuzi na mchango wake bungeni naufahamu kwenye hilo suala.

Inapendeza…

Cc: @Mahondaw

Mm hapa c ng’oki hata Kwa bakora
Za primary

Hahahaa. Eti kwani na wewe ushaupata mpango wa kando Sesten?