Wakatoliki wenzangu karibuni huku tumsalimie mama yetu

[ATTACH=full]179811[/ATTACH]

Ushetani tu hakuna kingine…

Duu nyie jamaa ni noumaaa. Haaaahaa ETI MAMA YENU.

Kuna tatizo?

[ATTACH=full]180292[/ATTACH][ATTACH=full]180293[/ATTACH][ATTACH=full]180294[/ATTACH]

Amina

Ubarikiwe

Ha

Hapana bibie, hakuna tatizo. Nina furahi tuu.

[SIZE=6]tangu niachane na ukafiri mwaka 2012 sina hamu kabisa na habari za kuabudu masanamu. [/SIZE]

Pole yako kama uliwahi kuabudu sanamu. Sisi Wakristo Wakatoliki humwabudu Mungu katika roho na kweli.

[SIZE=6]hayo ma sanamu mnayo ning’inizaga shingoni ya kazi gani. Mengine mnayabandika mbele ya Altare madhabahuni.[/SIZE]

Vile ni vielelezo tu juu ya kile tunachokiamini na hatuziabudu kamwe.

Kwenye ibada zetu humtaja Mungu muumba wa vyote, Yesu Kristo Mwanae wa pekee Pamoja na waja wake wema.

:(;):stuck_out_tongue:

What I need to know,who was queen of heaven according to old testament?
Is Queen of heaven,Mary the mother of Jesus?