Wakati wa kujivinjari imefika.

Niko Mwambatha kazi na nimemaliza kazi jana till Monday. Wadau niambieni joints naweza Enda nipunguze hizi pesa nyingi zinajaa kwa account.
Sana sana penye warembo wamejaa. [ATTACH=full]400703[/ATTACH][ATTACH=full]400704[/ATTACH][ATTACH=full]400705[/ATTACH]

Wenye hela hutafutwa aisee… Hiyo yako washa kiberiti uchome shash

Vyenye @Siyuko_Twitter amesema

Ingia Bamburi Mtambo. Kuna Mint, Sky-lounge, Divas Lounge, Samba etc.

Bamburi iko biatch aliniambia huko ni mambo bad. Wacha niende huko sasa pap

[ATTACH=full]400722[/ATTACH]

Hehehe, siko hapa kupimana kilo. Wacha nijibambe.

If you must then head to bamburi.
Mtwapa imehamia bamburi. Usiku ndio peak.

1 Like

Hiyo ni City Blue Creekside?

nguruwe niaje

1 Like

Poa sawa khocha. Naona Asenali leo imeshinda wanyonge

1 Like

Umesema mwaka haishi bila kaswende, okimwi or both?

Pitia Casablanca utapata lanye safi

Ata wewe umetumia hio keja; huwa safi sana

Hizo zinaitisha 3k short time

Nimetoka uko saa hii. Creatures in skimpy dresses ziko rare leo

Ingia Nyali Center.

Mombasa ukuwanga overrated in matters lanye, can’t even come close to Nairobi.
Kuna time nimeenda Bamburi manze it is 9.30pm hata matatu zilikuwa zinafunga job banae.
I think talkers mob hawana clue to this new reality, bado wako zile enzi Msa ilikuwanga moto faya

Next mission. Damages ni ngapi

Watu wakisema unaexpect utakuwa spoilt for choice. Ukifika unaona hakuna kitu.