Wadau

Hii belt nani auza na wapi…,need like three hii mambo yatoa belt kwa machines za kaa imenifika mwisho.
Juzi karibu trao icheze chini kwa chini.
[ATTACH=full]273237[/ATTACH]

Ingia hapo AliExpress uweke order

:D:D
Kwani unavaa zile trao za kanda bongo man Ama Pepe kale ?

Homo @Panyaste kuom kiasi

Unaweza pata hizi pande ya TWITTER , Kuna dem anauza huko belts