Wadau wa jukwaa la burudani mkuje huku.

Oyaaa eee wadau wa jukwaa la celebrities kule jf njooni huku asee…

wakija naomba unitagi

Fanya msako wa kuwaalika mkuu ili waje mapema

msimsahau Saida Said yule wa jukwaa la Matangazo.

:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p
Atakuja tu na matangazo yake

Poa mkuu

Pia Msimsahau Beira Baby London Boy.

Yupo shule uyo anamalizia mitihani ya terminal

here we r…!!!

Wakuu napenda uyu mwanadada sana. Hivi mbona nikama amefichika?

https://www.youtube.com/watch?v=IitzZ1YTJAI

Picha haitokei kwangu

Nipo nae hapa unataka nikuunganishie mkuu?

Freshi, unganisha mkuu, lazima nigharamike?

watumia chombo kipi?

Mkuu mtoto mzuri kama huyo unataka usigharamie, hapo chapaa lazima jooh

Hmm!..