Wadau niko na swali

Leo nilikua uthiru and while on my way to kabete, hapo kwa bridge nikaona this guy akitoka kwa gari, it’s like khupipii alikua anataka kususu, akamchukua kwa kichaka na akamtolea nguo while the wife was seated on the car holding a child…so my question is, what kind of relationship is this? My whole life have never seen such. Is the western influence striking in slowly.

unasema nini? how is the wife seated in the car holding a child na at the same time bwana ako kwa kichaka akitolea the same wife nguo

informatio missing…ebu review and ask again

apparently huyu hajui “khupipi” from “wife”. Labda anafikiria “khupipi” ni “sister”

How

How many ppl wa there?

One man (I think), Khupipi (also commonly known as “wife”), and a baby. Nafikiri khupipi aliacha wife kwa gari, akapelekwa kwa nyasi akatolewa suruali.

Reframe…

Can you understand what u r saying sir?

That’s the western influence he’s talking about…
NOT BEING COHERENT.

[ATTACH=full]328261[/ATTACH]
Gani tena hii chief? Tayari nimechanganywa na ya kwanza hadi naona “this guy” akitoka nje ya gari na kuvua nguo while khupipi ya villager imeenda na wife ya wenyewe kwa kichaka flani kabete kutoleana chupi. Where’s the niglet btw?[SIZE=1]kumake matters worse siko mihadarati[/SIZE]

Jamaa anamaanisha 'Kipii" not khupipi.
Dude took his kipii to pee in the bushes while wife sat in the car.

ama gari anamaanisha mtoi alikuwa amebeba toy

Do you are have stupid??

Ama anamanisha jamaa alikua pia na keypiii so kyepii ikatolewa nje kuenda kupee nje asipee kwa gari wakaacha khupipi kwa gari

:D:D:D ktalk slang got me confused
Thought khupipii ni mtoto mdogo

:smiley: this is funny… khipii/keypee is the slang for young boy…good you came out to clarify :smiley:
NB: kipii is censored by admin

Ala, hapa nimechanganyikiwa

Hili neno censored ni klpi. Ni tusi kwa Kenya?

Kuna sehemu niliandika k.ipindi nikaona hilo neno limekua censored.

Kabisa ni matusi …linamaanisha mtu ambaye haja tahiri. Sasa admin ameliban hata hauwezi kulitumia katika sentensi ya kawaida isiyo na matusi

Sasa reframe