Wadada na urembo wa makucha kama shetani

Hi,

Jamani wadada urembo wa kucha unapowapeleka mtakuwa kama shetani.

Yani sijui mnawezaje kubandika makucha marefu alafu yamechongwa kwa mbele kama sindano.

Najiuliza mnawapapasaje mabeb zenu na mnafuaje na kuchamba je…

Kazi za ndani kama kupika sijui mnafanyaje…

Jamani urembo mwingine…

mie sipendi hizo kucha kweli kweli bora waache jamani sie wanaume hatupendi kucha na hatujasema kwasasa ni matako mwezi ujao tutatangaza kingine tutakacho na kita kuwa moto kuliko makalio

Mi ni mdada ila sipendi makucha feki

Mungu na akujalie uwe hivyo hivyo jamani si kwa kuparuliwa huko watu twafanyiwa

Mimi huwa najiuliza sipati jibu…hivi huwa wanajisafishaje wakitoka haja kubwa??

Wenzako huwa wanajisafishaje wakiwa chooni??

huwa nawakinai ghafla nikionaga iyo mikucha yao

Wengine hata kuzitunza vizuri hawawezi mikucha michafu

hiii kali

Kali tena sana

Wanaobandika hizo kucha ni slay queens ama kunguru maana wao huwa hawapiki na chooni hutumia tp.
Mwanamke anayefanya kazi zote za kike hawezi bandika hizo mauchafu
No hard feelings

None taken

Nasikia mnakuniaga pussssy.

Duh! matusi haya