Waafrika uaminifu ni zero

Chonde chonde usije ukaiamini ngozi nyeusi katka masuala ya hela au hata katika biashara zako utajuta kuzaliwa. in short sisi waafrika kitu kinachoitwa uaminifu na uzalendo hatuna hata kidogo. yaani inafika mahala kila mtu unawona mwizi na tapeli
kidogoo maustadhi nawakubali si watu wa kulaghai mtu. watu wengi ndugu jamaa na marafiki wamefarakana kisa uamifu kutokuwepo
Tubadilike uaminifu ni mtaji tosha, tukiwa na uaminifu baina yetu naamini matatizo tulio nayo yatapungua kwa 50%.
[SIZE=6]u[/SIZE]- upendo
[SIZE=6]a[/SIZE]- akili
[SIZE=6]mi[/SIZE]- mihela
[SIZE=6]ni[/SIZE]- niamini
[SIZE=6]fu[/SIZE]- furaha

Nawasilisha

“Simuamini Mtu zaidi ya Mungu na Mamangu!” 2PROUD - SUGU

Wamekusikia Mkuu

uaiminifu ni kitu adimu sana, usitarajie kukutana nacho kirahisi rahisi

Bwaga hekaya mkuu, hili lako laonekana kana kwamba ni jambo ulilolipitia binafsi maishani

uaminifu ndiyo mtaji pekee

Ova

kama hujui tz kuna memory card na flash drive fake(copy) nyingi yan had ishakuwa kawaida…inatufanya had sie waaminif hatuamin sabab ya hao wez…mtu anamuuzia mteja kifaa icho kwa bei ileile ya original yan huku mtaani n vilio tu…Pia wabongo wanapenda sana kitonga/mteremko yan mtu anataka OG kwa bei ya feki hata aibu hana…jamna kwel mtu unauziwa 64GB kwa 10000 hushtuki tu…YAN TUMESHA USAHAU UAMINIFU kila sekta ni kulizwa tu ya unalizwa nawe unamtafuta wakumliza.KAMA HUNA HOFU YA MUNGU UAMINIFU KWAKO NI 0 MANA UAMINIFU UNATOKANA NA IMANI MANA SHERIA NAYO INASIMAMA KULINGANA NA UAMINIFU.MWISHO WA SIKU USIMUAMINI MTU YEYOTE NIKIWEMO MIMI.TRUST ME FOR UR OWN RISK.

Aisee!..

Someime hata mtu mwenyewe hajiamini sasa nani atamuamini,

Hii ndio BONGO mkuu, na hizo ndio FLEVA zenyewe. (BongoFleva)