Vyombo vya mitumba.

Hivi vyombo vya mitumba viko poa sana kuliko hata hivi vyombo vya madukani.

Mi ni mnywaji, kuna kipindi nilinunua viglass vya wine vya dukani. vilikuwa vyepesi, hata havina mzuka na vikaishia kupasuka. Nikanunua glass za mtumba. hadi leo zina kama 2 yrs. halafu ni nzito kiasi ukiishika unaifeel.

Vyombo vya mtumba ni vizuri sana halafu hamna shame kuvitumia maana hata tukienda migahawani hutumia vyombo walivyotumia makumi kama siyo mamia ya watu.

picha tafaadhali…

we jamaa unaongea mwenyewe?

Vyombo vya mtumba ndo vikoje mkuu?

Vinauzwa wapi mwanakijiji?

kila mji kunakuwa na mitaa fulani wanauza. Mbeya wapo sokoine.

Weka picha basi