Vyombo vya mitumba.

Stewie

Village Elder
#1
Hivi vyombo vya mitumba viko poa sana kuliko hata hivi vyombo vya madukani.

Mi ni mnywaji, kuna kipindi nilinunua viglass vya wine vya dukani. vilikuwa vyepesi, hata havina mzuka na vikaishia kupasuka. Nikanunua glass za mtumba. hadi leo zina kama 2 yrs. halafu ni nzito kiasi ukiishika unaifeel.

Vyombo vya mtumba ni vizuri sana halafu hamna shame kuvitumia maana hata tukienda migahawani hutumia vyombo walivyotumia makumi kama siyo mamia ya watu.
 

Top