Hi,
Kama mjuavyo JF yetu pendwa kule kila mtu alikuwa na beb wake.
Sasa huku majina ni mapya…ni wakati wa kumsaka yule umpendaye.
Uwanja ni wenu…
Ha ha haaa…nasubiri kuchaguliwa…
Hi,
Kama mjuavyo JF yetu pendwa kule kila mtu alikuwa na beb wake.
Sasa huku majina ni mapya…ni wakati wa kumsaka yule umpendaye.
Uwanja ni wenu…
Ha ha haaa…nasubiri kuchaguliwa…
Aiseee…hembu kuja kunako paul makonda
Ha ha haaa…
Umefika?
Nim
Nimefika…ila sikuoni
Nitakuja…mpaka nijue kwanza jeifu ulikua unatumia id gani hahahaha
Oh ntadum na @archduke wangu tu pamoja na kua tunetenganishwa na hili gharika
Mtoa mada anataka kapo new
Na mwenye hakuwa huko ako na ruhusa ya kupita na mmoja wa huku???
Asie na mwenza please am available
Hapana hiyo ni aina ya umalaya pia
Haha
Kwa hiyo kenya talk niwe na mbebez mpya jf kule niwe na mwengine hell no, me nikipenda nampenda mmoja huyo huyo labda azingue
My Eli79 a miss you bae!!!
Huyu ni mpya??
Mbona wa siku zoote jamanii
Mmmmmmh t nae???
Hahaha
T ni baba watoto na sio zaidi
Mh mdomo koma, haya bwana ngoja tupambane na hali zetu