Karibuni tuendeleze yale tuliyokuwa tukijadiliana kule Jf
Wap Chief Mkwawa wakuu
Machozi ya Simba
Jamaa alikuwa verified user kabisa na alikuwa msaada sana kwenye hili jukwaa.
Wenye mawasiliano naye wamshtue aje ajiunge na huku
ivi verified user ina maana gani mkuu, pia platinum member
Anayetumia majina yake halisi yaliyohakikiwa na uongozi wa forum
Cheo walichokipewa wale waliochangia mchango wa hela kwa kuendeleza JF
pamoja sana kiongozi
Karibu sana, usimsahau na jirani yako
Nimeshawaita wengine kwenye hii kambi ya UNHCR Kenya.
kweli aiseeeh!chief mkwawa popote ulipo ukuje ugenini kumenoga.elimu yako nimeimic mno
AdSense account for sale nicheki 0687 535650
Good info.
Nauza adsense wakuu mana hali ni tete
haha
Hosted au non hosted na ni sh. ngap
Hosted mkuu 30000
yani nikikumbuka watu tulivyokuwa tuna haha kujua mengi kuhusu blog,halafu Leo tuna tukizwa tuliiiiiiiiiiii
dah,inauma.
Kuna wazee bado wanapiga propeller humu?
Wengi wapo na wameshajiunga sema wamebadirisha Identity {ID}
Sawa
bado ipo??