Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

Pamoja na JF kurudi hewani, je, JF ni sehemu salama tena kwa privacy zetu?
KenyaTalk utakuwa unakuja kubadilishana mawazo na ndugu zetu Wakenya?

Are you out of your damn mind??? Imerudi wapi umenikimbiza mbio hakuna kitu

Acha uongo mbona bado haipo hewani?

Niliingia jamiiforums.com nikakuta iko active, sasa hivi naingia tena nakuta tangazo lilelile la muendelee kuwa wavumilivu, nafikiri ipo karibu kurudi.

Niliingia jamiiforums.com nikakuta iko active, sasa
hivi naingia tena nakuta tangazo lilelile la
muendelee kuwa wavumilivu, nafikiri ipo karibu
kurudi.

Usitufanye watoto hivyo

Katafute supu kwanza

Uhuru Upo karibu, ukiona Taabu zinazidi…

Asante kwa Taarifa…

Aaghhh!!

wanatest mitambo hao kurudi ni mpaka 2026

Meffi.

Haki ya MUNGU tena @Madame S, niliipata vizuri kabisa. Niliipata kupitia search results za google, nikaingilia kwa www.jamiiforums4.rssing.com.
Kama nimeiona peke yangu nchi nzima, basi mwaka huu nitakuwa na bahati sana.

Nachokumbuka ilikua hata mijadala yanyumahuwez soma nilikua nasearch bongo forums ikanipeleka jfnikasoma hiyothread ya mazda bongo sijui since then bado haijard

Hmm! Hizi posti zingine za kurushana roho tu…

Tuwe wavumilivu wakuu, huenda ikarejea soon as possible, ukiona inapatikana mara haipatikani, ujue ipo karibu kuja.

Sure, wewe ndiyo umesema true.

Mkuu, mimi huwa sipendagi utani.
Leo nimeingia JF kabisa kutokea jamiiforums4.rssing.com.

Mimi leo imeniirect kwenye jukwa la matangazo madogo, kila thread niliyokuwa naingia inakubali, hapa kuna namna, inaelekea inawezekana kusoma nyuzi za JF kwa kutumia link nyingine.

Scammers

Inawezekana, ila umenirusha roho, niliposoma post yako nikakimbilia fasta JF, nilipofika holla! Nimerudi nimenyong’onyea… :D:D:D