Karibu @Mrs Shosho , what’s missing here? [ATTACH=full]266159[/ATTACH]
10ltrs water…
Tosha hiyo.
Wakue majimaji
Manjimanji
Kikikiki…wapi incoming MCA? He posted a GIF here of someone adding water from a mtungi…atee more visitors are coming…niliokotwa chini.
@digi what is that food?
It’s chicken curry
Weee hiyo mafuta ni mingi sana.
Rice
Mbokando
Yule jamaa wako hajafika huku kukutusi, sijui anaitwa waginene wa mahene. Naeza piga yeye ma sweep na hio matusi yake.
Wachana na yule ni mtoto alisha rudi shule
Nice dish