Usaidizi kiasi...

Ndugu na dada zetu from across the border, namwaamkua shikamoo…! (to the elders only). Naomba mnisaidie miye fukara wa kiswahili (kitukuzwe, tena sana) mufti na meaning ya ‘hiccup’ kwa lugha hii yetu tunayoienzi ya kiswahili.

Ahsante kutangulia (in advance)

Matusi kando

Malizeni kiswahili wakuu…

Translation priss…

Maige githweli kafatii

Maana yake ni kwikwi

kwikwi

Kwi kwi…

Cc: @Mahondaw

wewe mzee wa kijiji umeandika lugha gani hii yerewi yerewi yerewi

Ahsanteni sana nashukuru. Na wewe @Sky Eclat wapendeza mno

Mufti (sheikh mkuu) ni neno la Kiswahili, ila hiccup kwa Kiswahili ni kwikwi kama alivyoeleza Sky Eclat

That’s my muzunguuuu!!! great

Strawberry in kiswahili je??
nawasilisha

cc @Smart911