Umewahi Patana Na Wale Wasee, Huuliza "Unajua Mimi Ni Mtoto Wa Nani" During A Fracas?

Ndindu

Village Sponsor
#1
Long story short every town has a rich man, and the children of such rich families know that they are the Royal Family of that village or town, so they are basically spoilt.

Last year's December Kuna mmoja Alig'olewa meno Kwa bar baada ya kulewa chakari na kungonga msee Mbaya na chupa ya pombe juu yeye budake ni wale wenye mnji. Rather than apologize he started tossing sentences the likes of, Mimi ni Kijana wa Karanja wa depot ya Coca-cola utado? His dad is old money so the dude grew up in luxury and went to those Group Of Schools type academies so during the holidays wao huja ocha na Masubaru kuringia wasee na exhaust noise and loud music.

Leo nimekaona kamewekea meno mpya.
 
Last edited:

Hot lanyee

Village Elder
#2
Long story short every town has a rich man, and the children of such rich families know that they are the Royal Family of that village or town, so they are basically spoilt.

Last year's December Kuna mmoja Alig'olewa meno Kwa bar baada ya kulewa chakari na kungonga msee Mbaya na chupa ya pombe juu yeye budake ni wale wenye mnji. Rather than apologize he started tossing sentences the likes of, Mimi ni ule Kijana wa Karanja depot ya Coca-cola utado? His dad is old money so the dude grew up in luxury and went to those Group Of Schools type academies so during the holidays wao huja ocha na Masubaru kuringia wasee na exhaust noise and loud music.

Leo nimekaona kamewekea meno mpya.
Money cannot buy you sense,nor emotional intelligence

It is impossible to respect such a man.swinging his father's nuts
 
Azor Ahai

Neo Unplugged
#5
Long story short every town has a rich man, and the children of such rich families know that they are the Royal Family of that village or town, so they are basically spoilt.

Last year's December Kuna mmoja Alig'olewa meno Kwa bar baada ya kulewa chakari na kungonga msee Mbaya na chupa ya pombe juu yeye budake ni wale wenye mnji. Rather than apologize he started tossing sentences the likes of, Mimi ni Kijana wa Karanja wa depot ya Coca-cola utado? His dad is old money so the dude grew up in luxury and went to those Group Of Schools type academies so during the holidays wao huja ocha na Masubaru kuringia wasee na exhaust noise and loud music.

Leo nimekaona kamewekea meno mpya.
Utaringaje na Subaru :D:D
 
Benn Dover

Village Elder
#6

I actually have. Jamaa alikua anapiga watchman wa mall akisema we hujui mi ni mkidy wa nani. He is still my friend though but nilijua ako na utiaji flani. Baba yake alikua anafanya kazi county
 
#7
Kuna mwingine alikuwa akishinda ananitishia ati unajua budangu ni karau utafanya nini?
I shot back and told him, " budangu ni ocpd, uncle yangu ni ocs, cousin yangu ni kdf, cousin yangu mwingine ni gsu. Huyo budako unaona akiezana na hao watu wote nimetaja?". Ungeona his reaction :D He just stopped talking and walked away. Mjinga yeye.
 
uwesmake

THE PRESIDENT
#8
but bado ukipata ghassia kama hio especially in the town mbuyu wake ni small god na wewe ni peasant avoid him , hii ni Kenya utajipata Yala viufala tuu especially fights over random whores .

but akikuja ashike matiti ya bibi yako kama mbayambaya piga mtu kichwa ianguke huko kando , wakili niko hapa probono
 
Top