Lakini peasants tuna shida mingi za kujiletea . So wasee Kibra waliamua kuenda Tear Gas Monday. Resultant effect ikawa business za Kibich kufungwa, mashule kufungwa na ni hao hao wanakuwa affected !! When will guys shake their heads so that their pea sized brain zi vibrate zianze kufanya kazi ??
Hawatasikia ati Westy ama Runda shule na biz zimefungwa. Kisumu nayo yule msee amekula risasi akaumia alikua na slippers. Huwes ni convince ati Birrionare aliamka akatoka shower mbio akaenda ku demonstrate. Ile Tumaini Supermarket ya Kondele imepigwa mawe imekosea hao peasants nini ?? Hizo gari wamechoma kwani ndio IEBC ??