Ume ni uwezo wa kushughulikia jamii. Basi vipi uke? Uke ni uwezo wa kushughulikia familia. Kweli? Basi tuambie kuhusu utoto, ikiwa wajfanya mjuaji. Utoto ni malezi na mapendekezo kulingana na ume na uke.
Ndio, ume sio kende na uke sio titi nakadhalika! Wacheni utoto. Nchi za Ki Afrika zinangojea kuambiwa kama watoto! Na mzungu mwenye kende anawadhulumu kijinsia. Ndio, mmarekani ni kende sio ume. Ndiposa wanamumunya madawa ya kimapenzi ili wafire Wa Afrika eti ni mabibi zao!
Kungekuwa na uwezo wa kutekeleza wazo hili kimsingi katika jamii yetu my fren tungekuwa mbali sana. Lakini ufisadi na kutokuwa na nidhamu, ikiwa na kibinafsi kama lengo kuu la kizazi chetu kimethiri jamii.
Unapojaribu kuungana na wengine, wanachukua fursa ya kutumia muungano kujipa faida. Lakini nimependa sana wazo hili, nitaliongeza kwa dhana yangu.
Uke ni “coomer” lakini kumbuka kuna watoto baada ya ngono. Lazima tuwashughulikie ikiwa tumekubaliwa na mama zao. Hamna haja ya kumzorotesha kiafya bibi. Mpe pesa na aende!