Ulevi/vita

Ulevi huwa na mambo nyingi sana apart from the road accident. RIP watu wenye waliperish na voxy jana…I hope they are not talkers of this village now that many say that they know them… Kwanza ule mnyanye alikuwa anaulizia story na serena/voxy/noah …I hope leo ameonekana kama kawa kwa all threads…

Hekaya… Yesterday I decided to treat myself after hardwork…so plan ya kuenda home nilikata immediately after nilipata place poa inangoma na drinks …price ilikuwa fare but nilikuwa alone…hio mtaa sijui any but si kumind…nilikuwa nimeingia mapema so nikapata table haina watu nikaketi na nikatulia .After sometimes nilipata company kwa table…jama a Tall,well fed and built, twice the size of my body,…ndio aliketi kwa hiyo meza… As usual I didn’t pick any conversation with him yet pombe ilikuwa bado haijashika.

Kijama kilianza kumeza pombe and with no time zake zikaanza kumshow story na dance floor…so alikuwa ananiwachia pombe kwa meza nimchekie…zangu zikaanza kushika, but alienda mara ya kwanza na ya pili kama anacome back,saa hizo niko rada ya pombe yake…Alipoenda round 3 alikawia sana and I suspect aliteka poko for short time tings…Mimi naye the alertness was not there anymore, I could not even recall the stranger clothes…kuna ma heavyweight wengi walikuwa already in the club…nikasema kwa roho mimi nimecome kurave but sio kuchungia some idiots pombe…

Kama naendelea na kujinice, two young men joined kwa ile table yangu na wakaitisha gauge yao. By this time zangu zimeshika, ndio kitu ikaclick kwa mind kuna kijamaa, kiliniwachia pombe, but haiko kwa table, I didn’t see any person akichukuwa including the Waiter’s… instinct zikanishow hapa kuna noma the guy can come anytime and since he’s twice the size of my body I can’t physically fight him…hii ni ile vita lazima nikuwa na kitu kama redii ya wasee, panga, mawe ama any weapon of any kind otherwise hapa ngumi haiwork…

Nikajipea nguvu,…saa hizo nikumaliza pombe yangu nakujitoa…just before nimalize the last quarter in my glass…kile kijamaa ndio hiki direct kwa table…kidogo arguments zikaanza, ooooh wapi pombe yangu…mimi out of my ulevi answers zangu zilikuwa matusi…huyu jama alishika moto akaniokota jab…from there sijui what’s happened nimejipata hosi na wekwa maji na ile dripper, I cant recall or explain what happened…the hospital bill sai ni 10k…sijui how they arrived at this ama ni wizi tu…but niko poa and stable…mbisha sina…

Nani ako na experience ya kuwachiwa pombe na mastranger kwa pub then ina turn kuwa a different story…??

  1. uko na plaster kwa matako?
  2. uko na body parts zote?

Shida zako zilianzia hapa

He he pole sana.

Niko na all parts of my body… eish bona matako?..ama you are trying to insinuate that this was a gay fight…??.. it’s just a normal assault bro…

moral of the story…thou shall not drink alone…

How?..are you trying to bring the usual insults of hardworking Kenyans been labeled peasants in this village??..

Eish , pole ndugu. Mimi siwezi enda out solo au na stranger ? Never in Nairobbery.

:D:D:Dpole

[ATTACH=full]50728[/ATTACH]

…thou shall not drink alone in a strange place…thank you

U go drinking alone in a strange neighbourhood then u pick a fight with someone twice ur size…Do u have a death wish? Ungewekewa drip ingine ya akili.

Haina noma …mimi sikuwa naenda vita …but vita ilinipata…I don’t pick fight so easily when I’m in a drinking spree…hapo kwa drip ingine kwa akili, go tell the RIP victims of voxy…sheji

Ungekataa kumlindia. Simple wewe si mboch wa mtu.

Nani ameona @aviator today?

Pombe - Kes. 300/-
Insults - Free
Hospital bill - Kes. 10,000/-

Experience - Priceless

How do you lose all your senses while drunk? Hujui limit yako boss?

:D:D:D:D:D you need to sigh up for a gym, preferably mine asap

Hii tabia ya nichungie gauge iko common sana…but in my case mimi huwa namaliza pombe kwa glass…so I only remain na yenye imefunikwa, hence no need of kuwachia mtu ati anichungie…beer ni kunyonya chupa hakuna cha glass…but I agree with you ningekataza huyo weighder mapema…

If you read my Hekaya well, I still had some % of sense remaining but nilikuwa already nimekatisika…the only thing that didn’t work well on my side is body advantage…kama ningetoshana na yeye angeona moto/vita kuruka…