Ukweli mchungu: Waliyo oa "dogodogo" wengi wanasaidiwa na wa nje

Huu ndio ukweli,

Mzee ana miaka 45 anaoa bint wa 24 , hapa lazima asaidiwe na wa nje.

ww utakuwa unagongewa na wa nje, empty set kabisa

Tuacheni bana,ilimradi wenyewe hatujui inakuwa poa tu…

Aiseee

kizuri kula na nduguyo sio lazima ajue. Acha watu waishi kama watakavyo…sio kujibana bana tu

Rubbish.

unamsema mzee mengi au! anyway anicheat lkn nsijue…

Wanapata tabu sana…

Ingekuwa JF OG hii post ingekuwa kapuni

Mod wa JF hawapendi ujinga

Ewe dada mwenye suruali ndefu ya kijivu na shati la pinki umetokea wapi?

Katerero Bk

Inawezekana… binadamu hamshindwi kitu…

Cc: @Mahondaw

yeah walio wengi huwa hivyo Japo wazee wajitia kupenda ndogondogo ila hali halisi ndoivo love…

45 ni mzee kwani

Kwanini niende nje, ninatafuta house boy kijana handsome. Ni mambo ya self contained tu.

@Babu Asprin usipite huku mume wangu

Katerero kumbe ni sehemu…nilikuwa najua ni ule mchezo tuu…

Wewe si ulisema huwezi kufanya na house boy?!!

Kwakweli siwezi

Sipiti mama. Naelekea Jumuiya