Uchambuzi Kenya VS Tanzania Military Strength Mara baada ya Kenya kupiga Magoti na Kuomba yaishe, “Mwana Kulitafuta Mwana Kulipata”

Ni nadra sana kuanzisha Uzi kama huu kwenye Majukwaa haya nami leo nataka kuchambua Uimara wa Majeshi baina ya hizi Nchi mbili.

Kenya
Ni Nchi iliyo Ukanda wa Afrika Mashariki, Kenya imekua ikisimbuliwa na Migogoro ya Wenyewe kwa Wenyewe kwa Kiasi Kikubwa Kenya ina ardhi ndogo inayofaa kwa kilimo na kwa Asilimia fulani wanategemea Chakula/Mazao kutoka Nchi Jirani Kama Tanzania na Uganda. Japo Kenya pia imeendelea sana Kwenye usindikaji wa mazao ya Kilimo na Ufugaji (Diary farming).

Uchumi wa Kenya
Uchumi wa Kenya ni Mkubwa kwa Afrika Mashariki haya yote yakichangiwa na Mambo ya Kihistoria ambapo Kenya Ilianza kuipita Tanzania baada ya ushiriki wake kwenye Vita vya Uganda.

Jeshi la Kenya KDF
KDF ni moja ya vikosi dhaifu Afrika na Duniani kote Sote tumeshuhudia wakiteswa na Makundi ya Wahuni (Alshabab) wakifa Ovyo, Taangu Kenya ipate Uhuru haijawahi kushiriki katika harakati zozote za Ukombozi.

Tanzania
Nchi inayopatikana Afrika ya Mashariki na Ni majirani wa Kenya. Tanzania Inasifika kwa Kilimo hasa Mazao ya Chakula na Imekua msaada mkubwa hata kwa Kenya Hivi Karibuni Uchumi imeingia katika uchumi wa Kati. Na Kwa miradi ujenzi wa Miradi Mikubwa ya sekta ya Mawasiliano na Nishati huwenda miaka ya hivi karibuni ikaizidi Kenya.

Jeshi La Tanzania JWTZ/TPDF
Ni Jeshi imara lenye Uzoefu na vifaa vya kisasa ikumbukwe Tanzania Imeshiriki mapigano mengi na Ukombozi wa Mataifa mbali mbali ikwemo Namibia na Zimbambwe. Tanzania Pia Imepigana Vita na Uganda na kumng’oa Nduli Iddi Amin Dada mwaka 1978-1980 pia Tanzania Imeshiriki katika Mission Mbalimbali hasa nchini DRC na kufanikiwa kuzima Makundi yaliyokua Tishio. Tukumbuke hivi Karibuni ilishiriki Kuikoa Comoro dhidi ya waasi. Tanzania Kijeshi inashikiria nafasi za Juu barani Afrika.

[ATTACH=full]317169[/ATTACH][ATTACH=full]317168[/ATTACH][ATTACH=full]317170[/ATTACH][ATTACH=full]317167[/ATTACH]

[COLOR=rgb(40, 50, 78)]Use your normal handle Mr 32 messages and 21 likes Elder.

Thread closed.,…

lets not feed into inferiority complex

[ATTACH=full]317171[/ATTACH]

Enda jamii nani. There you can wank to your imaginary powers without worry of facts

Nawaombeni jirani zetu Wakenya msifike huku.
Mimi ni Tanzania Journalist niliwahi kuongea na Rais Uhuru Kenyatta, ana

Duh…!.
Nawaombeni ndugu zetu Wakenya, tusifike huku…!.
Mimi ni Tanzanian Journalist, niliongea na Rais Uhuru Kenyatta, anatupenda Watanzania

Uhuru Kenyatta jirani mwema, atupenda Watanzania, amkubali sana JPM. Asisitiza upendo, umoja na ushirikiano kati Wakenya na Watanzania tujenge EAC 1 | JamiiForums

Paskali

Nakubaliana nawe

You have the brains to rise above the imaginary boundaries set up by colonialists. We salute you.

We won’t feed the troll

kenya haiko serious…

Is it me or am i starting to have a serious dislike towards Tanzanians,Someone should tell them to fuck off Kenya’s business and mind what is going on in their country,Kenyans barely know what is going on in Tanzania but these people are all over flexing and getting into our business.When Jaguar MP was stirring xenophobia at Gikomba i thought he was crazy but i am beginning to reckon with his point.
I used to think highly of Tanzanians but not any more and that country is a no go zone for me for holidays

Tanzania is doing better than Kenya …that’s why umejaa wivu ka mama wa ploti

Wivu gani, when i was in Dar-es Saalam around 2012 their hotels in a capital city did not have flowing water let alone in the washrooms or border area where you get a ferry to go Zanzibar.The place was flooding and houses being swept away.When i went to one of the clinics in Zanzibar i found a doctor sleeping on a couch at 2pm,there were no doctors in any dispensary or pharmacy, i also wanted prescription for contact lens and the guys could not understand what contacts mean,‘eti contacts zipi za simu?’ and i had to walk all over Zanzibar looking for an optometrist who gave me wrong prescription for my eyes.
From that day i have never had an urge to return to Tanzania and i will not return, We have visa free access to Caribbean countries and better beaches at the Coast, i do not really understand what this people have better than our country that makes them have such arrogance

Last year and every year in the past 5 yrs I have been there… I have seen the growth each time …wewe unaongelea 2012???

2012 was just 8 years ago,If you have Doctors sleeping in couches and absent from work and no functioning eye clinic anywhere even 20 years will not bring any miracle

Mkuu Paskali hawa nyang’au achana nao huwezi shirikiana na jirani mnafiki

Hakuna alikuita uje Tanzania baki kwenye mabanda yako

Wewe humjui Magufuli ndio maana unaongea upuuzi hapa. Magufuli ameigeuza Tanzania chini juu sio vile unadhani ilikua 8 years back

I am telling you that your information is too old …and I am telling you to stand down

@Pascal Mayalla sioni haja ya wewe kuwatetea hawa nyang’au wamezoea ubaguzi kwenye nchi yao sasa wameona haitoshi wanaamua kusambaza hata kwa majirani zao. Nani asiye fahamu kama chokochoko zote huanzishwa na Kenya. Ajabu ni kwamba sisi hukaa kimya ila inapotokea nasi kuweka aina yeyote ya vikwazo basi ni gubu na vilio vya kila aina. Walianza kwenye mipaka kutufungia juzi hapa kwenye masuala ya anga yote wanaanza wao maajabu ni kuwa Tanzania inavyoteleza hatua zake basi wao ni kulialia kama watoto yatima au mke mwenza shenzi kabisa. Wameshindwa kuitambua Tanzania kama jirani na mwenza kibiashara basi haina maana ya sisi kuwatambua maana wao wanajifanya hodari na wajuaji.