Twitter ni Miereka Tuu

Watu bado wanalambishwa sakafu na deadly sweeps
[ATTACH=full]307633[/ATTACH][ATTACH=full]307634[/ATTACH]
Waingereza pia hawataki mcheso
[ATTACH=full]307635[/ATTACH]
Wakuvunja kabat nao hawajasazwa
[ATTACH=full]307636[/ATTACH]

Sorry @Siko_Twitter

hio ya eddie butita ni kali , heheheheh:D:D:De

Huyo was mwisho ameonwa ko

Sweeps galore. Hapa unazima kila kitu kwa shosho midia alafu unakuja na handle mupya kama ya wadau hapa kijiji
[ATTACH=full]307646[/ATTACH]

Juzi nilipiga Bibi ya @Mangele sweep hapa Ktalk aka delete thread na kunifungulia ingine akilia Kama Dem

Halafu wewe mwenyewe ukaenda kulilia mkubwa na thread ya @Sovereign2 ikango’lewa haraka upesi, yes we know you are very fearless. You don’t need other men to fight your battles for you.:rolleyes:

The going on …