Twaweza yamgusa dikteta sasa aamua kuwajia juu

BAK1

Village Elder
#21
Hawa wahuni ambao wamekubali kutumika kama mouthpiece ya dikteta walitaka watoe adhabu kimya kimya.

Thursday, July 12, 2018

‘Twaweza letter was not meant for social media’, Costech says
Costech’s Acting Director General Dr Amos Nungu (C) addresses the press on Thursday. With him is Costech's lawyer Ms Zainab Bakari (R), and a Research officer at Costech, Mr Mashuhuri Mwinyihamis. Photo | Ericky Boniphace
In Summary
Dr Nungu declined to say anything else about the letter before Twaweza replies. He said: “We cannot talk about the letter, for doing so would be replying it on behalf of Twaweza.”
Advertisement

By Khalifa Said @RealKhalifax ksaid@tz.nationmedia.com
Dar es Salaam. Tanzania Commission for Science and Technology (Costech) has expressed its disappointment over circulation of its letter to a local advocacy group Twaweza, calling the move to be inappropriate.
Read more: Tanzania's Twaweza in trouble as Costech claims recent survey was uncertified
The letter, which issued a seven-day ultimatum to Twaweza, wants the organization to explain why legal measures shouldn’t be taken against it for allegedly conducting a survey without a permit.
The research in question was an opinion poll which revealed that President John Magufuli's approval rating has dropped from 71 per cent last year to 55 per cent.
Findings of a study titled Speaking Truth to Power? Citizens' Views on Politics in Tanzania show that Dr Magufuli's approval rating has dropped from 96 per cent in his first year in office in 2016 - a fall of 41 percentage points.
Read more: Magufuli popularity rating falls by 41 pc in the last two years
Speaking in Dar es Salaam on Thursday, Costech’s Acting Director General Dr Amos Nungu confirmed that the letter was indeed from his organization, noting however that he was saddened to find legitimate official communication circulating on social media even before a response was made.
However, Dr Nungu declined to say anything else about the letter before Twaweza replies. He said:“We cannot talk about the letter, for doing so would be replying it on behalf of Twaweza.”
Read more: Twaweza: Magufuli approval rating plunges, but...
 

BAK1

Village Elder
#23

Kwa huyu kichaa dikteta Mkuu demokrasi ni kupiga kura na kukaa kimya kisha kumpigia kura kwenye madudu yake mbali mbali ikiwemo mauaji, utekaji, wizi wa trillions hazina, ufisadi, kudharau Bunge, katiba, mahakama na sheria za nchi.

Tukimkosoa tu ni kosa. Huyu mswaga ng’ombe kama alidhani atatuburuza Watanzania na udikteta wake kisha tukae kimya basi ATAPATA TABU SANA na frustration zake zitazidi kuongezeka.


Tetesi za chini ya Kapeti ni kwamba TWAWEZA tu baada ya kutoa Ile report ya utafiti walishaitwa kujieleza Ikulu..
Yani huyu KICHAA anaimaliza Nchi..
Worse enough waliomzunguka bado hawajagundua huyu mtu kama ni Kichaa.
 

BAK1

Village Elder
#25
Ndiyo unapoona upuuzi wa huyu mtu anayedhani yeye ni Mungu mtu hivyo ni wa kusifiwa tu kila uchao. Wakimkosoa anatumia waswaga ng’ombe wenzie AKA watu wasiojulikana ili wamteke mtu na kukatisha uhai wake. Anasahau kwamba kazi ya Mwenyezi Mungu tu ndiyo haina makosa yeye tutamkosoa tu atake asitake na ATAPATA TABU SANA NDANI YA IKULU.

 
#27
:):):):eek::eek::eek::rolleyes:nacheka lakini kwa mshangao hichi kizee mbona tafiti za mwanzo zilifanywa na twaweza hii hii??na zilikua halali kisheria,kwanini matokeo yamebadilika mara hii??au ni twaweza nyingine?
 

Top