Tusopendelea playstore apps...

[ATTACH=full]180554[/ATTACH][ATTACH=full]180553[/ATTACH][ATTACH=full]180552[/ATTACH][ATTACH=full]180551[/ATTACH][ATTACH=full]180550[/ATTACH]Habari wana KT…
Wengi tumezoea kutoa apps playstore…hii inatokana na mazoea au kuhofia usalama wa simu yako hasa kutoka kwa untrusted apps…ila kutumia playstore pekee kudownload apps,kuna vitu vingi unakosa kama hivi hapo chini…
Kama upo vizuri kwenye hii sekta,ni vizuri kuwasaidia wengine…
Nawasilisha.[ATTACH=full]180548[/ATTACH][ATTACH=full]180549[/ATTACH][ATTACH=full]180550[/ATTACH][ATTACH=full]180551[/ATTACH][ATTACH=full]180552[/ATTACH][ATTACH=full]180553[/ATTACH][ATTACH=full]180554[/ATTACH]
[ATTACH=full]180548[/ATTACH]

Lakini si hizi zote ziko kwa playstore.

Hakuna hata moja iliyopo playstore

Lakini niuona fifa na pes huko.Kama haziko mbona wasiweke huko kwa sababu watu kutumia ingine isipokuwa playstore itakua ngumu.

Mkuu,kwa sasa gemu zuri lililopo playstore ni pes 2018 na DLS bac…FIFA hakuna kabisa…hilo pes lina 1.4 GB kwa ukubwa…sawa ni zuri ila timu kama real Madrid na man u hazipo…bila hizo timu si gemu tena ndo maana watu wanalikacha…hayo magemu hapo juu ni FTS na ppsspp emulator…sawa emulator ipo playstore ila gemu zake huzipati playstore ng’o kwa sababu huwa katika zip file na si ktk mfumo wa app…najua unasema fifa lipo playstore sababu umeona fifa mobile…lakini kiukweli hilo sio FIFA…limekaa kiajabuajabu hata commentator halina…ukiona mtu anakwambia ana football game nzur na ameitoa playstore ujue anakudanganya…

Sawa.

Kumbuka pia FIFA na pes wamebase zaidi ktk video games za consoles na PC…zamani games zao za android zilikuwa playstore ila sahivi hawajapatilia maanani…nadhani pes game la mwisho kabla ya hili lililopo playstore lilikuwa la 2012[ATTACH=full]180577[/ATTACH]