Tupatene Carrefour

[MEDIA=facebook]100002612450745/posts/3687313878032324[/MEDIA]

Ni ya orioba?

Hakuna pombe ya maana iko na offer? Kama single malt

Wacha nijifikishe uko

Hiyo utahara heri corona. Kitu mzuri ya offer isiwe chakula

[ATTACH=full]355372[/ATTACH]
How to jump-start the Kenyan economy 101 :smiley: cheki date n time stamp hapo chini maze

Check the expiration date.

Hio kunguru in blue cant wait

[ATTACH=full]355376[/ATTACH]
mmmkaaaaaay cheki vile wako disciplined wammevaa mask wakinunua tei (Kanusu) …:smiley: A few gulps later niii Mungu saidia

mungu tu ndiye atatusaidia. hawa ni watu wamepanga line wanunue vileo wakunywe wasahahu mashida zao, lakini wakishakojoa io pombe wataamka wapate mashida ziko double

Lol

Gin doesn’t expire.

Sa unaonelea wavute fagi?

Sijaskia the name Orioba for more than 15 years. It got replaced by Bangla and I think it is Bangu today.
Kariobangi is an interesting name. I wonder what it means.

Carry You Own Bhangi . Used to be hang out for weed smoking colonialists . They were mean and didn’t like to puff puff pass to the left therefore the key rule was Kariobhangi!

:D:Dinaeza kuwa changaa… they realized their error now getting rid of it

Wueh

@ChifuMbitika nakuambianga pombe ni asali

Mimi sikunywi pombe tena

Unaona wanaume wanaunda line kubwa kuliko ata ya kupiga kura