Tufahamiane: KE-TZ Edition

Tuchukue mda kidogo tufahamiane kwa undani zaidi:

Je, wewe kama mtanzania/mkenya unaposikia Kenya/Tanzania ama wakenya/watanzania, picha/mambo gani hukujia akilini? Unaifamu kwa kiwango kipi nchi hii jirani?

Mimi mkenya na sijawahi tembea Tanzania. Nafahamu mambo machache tu kuhusu Tanzania, mengi ya hayo kupitia Radio Free Africa Mwanza, pia BBC na VOA, enzi za kitambo kidogo kabla kutokomea kwa matangazo kupitia mawimbi ya AM…

@Sky Eclat @Dave Mtzd @Mwifwa karibieni huku mkiwa pamoja na wenzenyu tujuzane zaidi…:slight_smile:

Let’s debunk the myths…

Tanzanian music,dictator magufulu.

Sihitaji kufahamu mengi, ninachokifahamu mimi ni kuwa @Demii dry fry lazima

Ndio kuamuka

I thought all Luo are toothless. Ahahaha!

I always ask this question… Luo where your teeth at?

Kwanza wewe vile una ndoto nyingi za kuzuru TZ siku moja…na hii attitude ukifika huko Kenya utarudi kweli?

sijawahi kufika kenya lakini nachojua ni kwamba kenyans are so aggressive nikiwaangalia waliopo tanzania
ukiingia hotelini ukamkuta mkenya utafurahi

Ni kweli jamii ya waluo enzi za kitambo walikuwa waking’oa meno ya mbele kama ishara ya mtu kutoka utotoni na kuingia utu uzima (? jina limeniponyoka), lakini siku hizi hawatilii mkazo itikadi hii, badala yake wengi wamekumbatia tohara ya ‘kawaida.’ Kwa hiyo in nadra upatane na mluo asiye na meno ya mbele:)

mimi nilisikia eti wanang’oa meno ili warahisishe kunywa uji

Kenya Kuna njaa sana. Usipokuwa aggressive utalala njaa. Unaweza kuwa aggressive na bado ulale njaa.
Unazaliwa Kenya ukiwa kondoo unageushwa Kukuwa fisi

Kweli, wengi wa wakenya ni aggressive na competitive sana, lakini kuna maeneo ya nchi hii ambako wenyeji wanasifa za ukarimu mwingi, upole…na mambo kama hayo kama jinsi tu walivyo watanzania, kwa mfano wenyeji wa jimbo la pwani na pia watu wa kutoka jamii ya Luhya, waopatikana magharibi ya Kenya.

When I think TZ I see good bongo music, Kiswahili sanifu, very polite people (tafadhali naomba…).

Kiu kweli i always thought Tanzania is this backward society.Growing up nilikua na mskilizaa jama anaitwa Munishi,alikua anai ponda Tz sana.
So my first time i visited Tz i was very naive to the extent that i was shocked to see vehicle’s.

https://www.youtube.com/watch?v=u-IlL0un2ig

Bado wako backward.

The Tanzanians I know kwenye niko are very bone lazy. They like an easy life, don’t hustle like us where we have had to hold down 3 jobs to survive and help others at home. They are not like that. I hear their women are very good read submissive so our Kenyan bros are always after them! They kind of remind me of our Coasterians. @Bingi your input is not welcome as you hustle like shits.

Having said that I have not been to the Country but it is on my to do list. Some day.

you are not right but not completely wrong

I love Bongo music kuanzia enzi za Taarabu ya Mzee Yussuf etc, upto Diamond Platnamz.
The best talent that Africa produced in my biased opinion!..

I love Swahili as a language and Diamond Platnamz plus his Wasafi crew never disappoint me with their bottomless Poetry … Wabongo Kwa usanii wameshinda hands down!!!

I have lived with Tanzanians abroad for years and they were probably the first black people integrated with in my formative years majuu in my uni days.

In my honest opinion, Wabongo wanapenda the high life but are not always prepared to work hard for it.
Mnapenda kuvaa vizuri na kuendesha magari ya dhamani lakini kazi inawashinda …

I have seen too many Tanzanians fall into the life of crime and welfare abroad kuuza vidude na kunaswa kisha baadaye wakapoteza kila kitu Kwa tamaa ya maisha ya juu.

Saying that, I have to give credit to Tanzanian women abroad.
Tabia za ukahaba hawana na wanawatii wanaume wao.
Pia wanajua kupika na “kugawa” ikifika kitandani!.. kikikikkkk…

I should know!, I used to date Halima na alikuwa ametoka Dar lakini her parents were from the Comoros islands!

Napandwa na nyege nikimwaza Halima!

Which is why I added the bit that I have not been to the country so cannot tar all with the same brush.

way to go