Kumbe yote ilikuwa minyambo ya punda hehehehe na vile alisema wakenya ni wafisadi.
Haya basi vitoa machozi virushwe
UK, US warn of possible Tanzania protests
Police have promised a robust response to any demonstrations against President John Magufuli.
Britain and the US issued alerts on Tuesday warning of “possible” protests “across Tanzania” adding that police might use “tear gas and live ammunition”.
Magufuli atajua hajui just wait and see hizo mining companies and multinationals anajaribu pissing contest will do. Those firms have lobbyists and we all know what dirty jobs lobbyists do
Alafu wanaiita popular uprising…hata raia ya kawaida haina habari…of course after destabilising ndio wanaingia eti kusaidia…kumbe wamekujia hizo mines na any other natural resources
Magufui stirred the wrong hornet nest. The sting will be painful.
But it will serve TZ good. Since magufool came in power ,Tanzanians have been playing semi gods eg stealing our maasai cattle and burning thousand of innocents chicks ati they are sick nkt
Wakenya bana. Tz siyo kenya. Watanzania wanaweza kuku support kwenye maandalizi but ikifika wakati wa action wote wanakuwa against na wewe. Hahahahah. Nadhani hii issue ya maandamano imewafundisha kuhusu Tanzania ni nini.
This will not happen. Generally Tanzanians are very gentle people who respect authority no matter how bad it is. Ulike Kenyans where there is a mirage of democracy and there is a protest for everything.