TRICK: Jinsi ya kuingia jamiiforums.com na kusoma thread mbalimbali.

Hakikisha hauja-save jamiiforums.com katika offline mode.

NJIA:
-Ingia google
-Tafuta neno ‘wauza smartphone tukutane hapa’
-Achana na search results zote, click search result yenye link ya www.jamiiforums4.rssing.com.
-Ukiwa www.jamiiforums4.rssing.com, shuka halafu click ‘wauza smartphone tukutane hapa’.
-Itakupeleka kwenye maelezo mengi, click maelezo yaliyoandikwa:
“Article Link: http://
www.jamiiforums.com/
threads/wauza-
smartphone-t…”
Itakupeleka kwenye thread ya wauza smartphone tukutane hapa. Hapo utaweza kuingia kwenye jukwaa lolote lile na kujichotea maarifa utakavyo.

ASaaante sana…shukrani kwako mkuu…

Shukrani pia.

Google Jamiiforums ingia inakubali

Jamiiforums inakubali tu ila hauwezi kupost ila nondo unachukua uzitakazo
Nalog off

Hiyo trick ingekuwa na kazi kama JF ingekuwa haipatikani, ningejua kama imerudi, nisingeleta hii trick.

Wewe ni muuza smart phones?

Hapana Mkuu, mimi siyo muuza smartphone.
Nafikiri umeuliza hivyo kwa sababu ya mambo mawili:
1: Kwenye huu uzi nimetaja sana “wauza smartphone tukutana hapa”
2: Hapahapa KT, kuna uzi wangu mwingine unasema “wauza smartphone tukutane hapa”, huu hapa:
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/wauza-smartphone-tukutane-hapa.80917/#post-1699437

Uzi wa “wauza smartphone tukutane hapa” ni kwa ajili ya kuuza simu yako used.

Kilio chako kimesikika

no comment no new thread
(You have insufficient privileges to reply here.)
[SIZE=6]THE FOLLOWING ERROR OCCURRED:[/SIZE]
You do not have permission to view this page or perform this action.
tusubirie tu mana now nikusoma tu kilichokuwepo

Safi sana kiongozi nimekuelewa
Nalog off

JF ilianza kurudi kuanzia jana saa 4 asubuhi, wakuu wasiojua wakaanza kuniambia natafuta kiki, kiki zitanisaidia nini?, kwanza huwa sitakagi mazoea na member yeyote wa JF, na wala sina shobo kwa member yeyote wa JF. Tumekuatana mtandaoni, tuachane mtandaoni.

Hata hayohayo yalikuwemo yanatosha tu Mkuu kwa ajili ya kujisomea. Ila mpaka hapa tupo kwenye stage nzuri. Muda si mrefu tutaanza kucomment na kuanzisha uzi.

Kweli jf kina vichwa aisee

Sawa sawa