Tomatoes, onions and cabbage farming

I need some advise I want to start farming the above. Will I get ready market

Uko na shamba? Iko wapi? Kama uko kwa akina @Bingwa sahau hizo veg panda cactus

Kama unaeza panda nduma utakua birrionaire

Hio soko iko kila siku… Swali ni utapata profit. You must supply off season. That is the catch

Yes you will…but tafuta potential market kwanza ndio usilale na perishable stock…@revisionist amekujenga kabisa try studying the market cycles ndio usi supply sahile kuna glut. Kama unataka kupanda 5 acres of tomato transfer your seedlings like 1 (utajiamulia hii ni mfano tu) month after your neighbours have planted and instead of planting the whole 5 at once chapa 3 acres kwanza then 2 acres like after another month. Spread the risk…but i assure you you can never be perfect but by spreading the risk utapata ume earn more in the long term than guys who harvest together.
Then try do the wholesale and retail…AVOID MIDDLEMAN AS MUCH AS YOU CAN…juana na watu kwa masoko ama sazingine enda tu u sell your wares directly and you will be fine.
Jah bless. Its possible my friend.

Shamba iko narok, karibu na mara river

Shamba iko narok karibu mara river

As advised by @Lonely Lover tafuta market kwanza then start farming, otherwise you’ll be at the mercy of some very ruthless brokers who act like they are doing you a favour by buying your produce. All the best.

Kwani nduma hua na nini? Why do you say they are profitable? Hapa niko very curious…

Cost of maintenance very low. Just plant and chunga shamba…utaipanda hapo karibu na river hakuna mzigo ya kuspray na mafertiliser. Halafu ukiwa na ka kibanda pahali wasee hupitia pitia wakienda wera ukiwachemshia na ka tibe. Actually pia kama unaweza diversify usitegeme crop moja.
Tafuta agricultural extension officers wa guva akupe mawaidha…wako mtaani wanasaka mkwanja watakusort kulingana na hio envinroment yako…pia cheki ka kuna wasee wa sygenta around ama hizi n.g.o za kusaidia wakulima.

Umejibiwa hapo juu.alafu nduma is a scarce crop, it’s highly recommend by nutritionists to patients with chronic illness.that means the market is very broad and ready.and the crop is very expensive due to it’s scarcity nature.the biggest challenge Ni mahali pa kuipanda.it requires alot of water

How so?

I get it. Shida ni maji

Yeah, mara mingi watu huipanda karibu na mto.but it’s very lucrative.you go to the market with whole sack and within few hours you are done for the day.

First time trying those cabbages.Make sure uko na maji Kwa wingi
I have 5,000 cabbages sahii sijui niuze wapi

Enyewe mtu huanza na soko. Maybe this time you shall not make a good profit but I am sure the experience you gave is invaluable. Usichoke. Lije every business Farming cannot be instant wealth. Lazima kutakua na hiccups. But 5000 heads of cabbage… Umejaribu sana.

Nataka nipande November