To my archduke

Ninatamani ningekua na uwezo wa kuyaona yajayo ili tu nione mwisho wetu utakavyokua

Lakini ndio sina uwezo huo mpenzi na jukum hilo analo Allah pekee hivyo kwa hapa tulipojaaliwa tutaenda na kuishi hivyo hivyo kwa kumtegemea yeye

Namshukuru Mungu mwingi wa rehma kwa kukuleta kwenye maisha yangu babe bila yeye hata tusingefika hapa tulipo japo tuendako ni mbali lakini nnaamini kwa pamoja tutaweza kufika kule tulikojiwekea malengo tufike

I just want you to know babe, i love you na sitachoka na naomba usichoke kunivumilia na kunipenda na tabu zangu sababu najua hatujakamilika sisi binadam

I love you babe

@Archdukee

i’m speechless…

Pls ongea kitu moyo wangu utulie :rolleyes:

nakuahidi nitakupenda kwa siku zangu zote zilizobaki hapa duniani

that’s my superwoman

hakuna wa mfano wako i was born to be loved by you

Mpenzi wangu, maisha ni safar ndefu sana had watu kufikia malengo yao ujue wamevumiliana mengi mnoo, usinichoke nitakappkukosea niweke wazi hata bila kihofia nitaumia huko ndio kunijenga honey nakupenda zaidi ya neno sana

Kweli Mungu alikua na makusudi yake maalum kutukutanisha haikua bahati mbaya bali ilishapangwa iwe Mungu atupe maisha marefu na afya tele tuzidi kufurahia safari yetu me na wewe, @Archdukee i promise to love you with all my heart

naamini Allah atatufanyia wepesi kufikia malengo yetu tuendelee na sala na kuzidisha mapenzi yetu

Na hiyo ndo nguzo pekee itakayotufanya tuzidi kusonga mbele

Unanifanya najiona mwanamke sahihi bas tu

hakuna kama wewe tulilinde penzi letu tupendane

Babe

sijui hata cha kusema mpenzi sometimes it make me even cry

Babe, haina haja ya kulia

Mimi ni wako peke yako, na nimekubali kua na wewe kivyovyote vile honey

Kwa nn unalia sasabeb? Hujui ukilia utaniliza

yes babe

Huwez amini nilijisikia tu kukuita hata hivyo ishakua friday honey tulale kesho tuamke salama inshallah ts gettin late my bae

nitaitika tu whatever it is

nakuja inbox

zingatia sala mpenzi

i understand

Sala ndio nguzo yangu mpenzi hilo hata usijali, morning hun

I love you

morning beib :wink: