Thousands if not millions of Narrow bee fly spotted in Baringo

Kuna mahali tumekosea walai.
[MEDIA=twitter]1252989126523174913[/MEDIA]

Global warming is real

Hizi zimekuwa kutoka last year December. Zinaletwa na mvua. Sasa juu mvua imerudi ata hizo zimerudi na descendants.

Just switch off security lights outside your house or they will take it as an invitation to come over. Zinapenda bulb light kama venye slay queen anapenda pesa.

Don’t forget to close your windows, curtains or any openings ama utazipata zimejaa kwa nyumba karibu na bulb light.

Hiyo stuff ikikutembelea kwa balls unajuwa bed ridden for days.

Mtu yetu ana malizwa.

Those are millions. supertoxic.

Nairobi fly…

Yap it’s called Nairobi Fly!

:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

Zombie

These things increase because of favourable weather conditions

The name was changed to Nairobi fly since that is the name everyone calls it anyway

Also known as Nairobi Eye

Favourable conditions isn’t an indication of global warming, this might just be part of climate cycles.

You really care about bulbs than human beings…

:D:D:D

Ngoma ino.

Also Narrow Bee fly

@sure sure

Vile Mimi hupenda kuchukua slices Kama dirisha iko open na bulb iko on. Nitazipata kwa genitals